WABUNGE WAWILI WALIOTEULIWA NA MHE. RAIS WAAPISHWA BUNGENI JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 1 December 2020

WABUNGE WAWILI WALIOTEULIWA NA MHE. RAIS WAAPISHWA BUNGENI JIJINI DODOMA

 

 

 Mbunge wqa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais, Mhe. Riziki Lulida akila kiapo mbele ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mbunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais, Mhe. Humphrey Polepole akila kiapo mbele ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Wabunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais, Mhe. Riziki Lulida na Mhe. Humphrey Polepole wakiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge Mhes. Job Ndugai na Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai mara ya kuapishwa kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad