RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
aliyemteua hivi karibuni Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020.(Picha
na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja aliyemteua hivi
karibuni Mhe.Rashid Hadidu Rashid, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
leo 3/12 /2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja aliyemteua
hivi karibuni Mhe Idrisa Kitwana Mustafa, hafla hiyo ya kuapishwa
imefanyika leo 3/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba aliyemteua hivi
karibuni Mhe Salama Mbarouk Khatib, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAKUU
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa wapya,hafla
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
3/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja aliyemteua hivi
karibuni Mhe.Rashid Hadidu Rashid, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika
leo 3/12 /2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAKWANZA
kutoka kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali
Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.
Abdulhamid Yahya Mzee, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Mwinyi
Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kuwaapisha
Wakuu wa Mikoa wa Zanzibar aliowateua hivi karibuni, hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAKUU
wa Wilaya na Wanafamilia wakifuatila hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa
Mikoa wa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,
wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika leo
3/12/2020.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed
Suleiman Abdulla, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora.Mhe.Haroun
Ali Suleiman na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali
za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed, wakifuatilia
hafla ya uapishaji wa Wakuu wa Mikoa walioteuliwa hivi karibuni, hafla
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha Wakuu wa Mikoa wa
Zanzibar katika hafla iliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
3/12/2020.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment