RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA NMB IKULU LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 10 December 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA NMB IKULU LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na Ujumbe wake  (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika ikulu na Ujumbe wake (kulia) Afisa Mkuu Wateja  Binafsi na Wafanyabiashara Ndg. Fillbert Mponzi na Afisa Mkuu Wateja
Binafsi na Biashara wa NMB Ndg. Alfred Shao, mazungumzo hayo  yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki  ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza akiwa na ujumbe wa Maafisa Wakuu wa Vitengo vya Benki ya NMB, hafla hiyo imefanyika leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi yake ya  ATM na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza
mazungumzo yao  yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.  Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kadi yake ya ATM baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu  wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna , baada ya  kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 10/12/2020 katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya  NMB Bi.Ruth Zaipuna na Ujumbe wake wa Maafisa wa Vitengo mbalimbali vya  Benki ya NMB, baada ya kumalizika mazungumzo yao yaliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10/12/2020.(Picha na Ikulu)


 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad