HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 15 December 2020

NAIBU WAZIRI KHAMIS HAMZA KHAMIS ATEMBELEA MIRADI YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA, AWATAKA KUPITIA NA KUHESHIMU MIKATABA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Khamis(aliyenyoosha kidole ,akiuliza maswali wakati alipotembela Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya  familia themanini za askari.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis akikagua Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya familia themanini za askari. Anayefuatia ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (katikati), akikagua ubora wa sakafu alipotembelea Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita  huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo, jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya  familia themanini za askari. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jesshi la Zimamoto,Mhandisi Julius Ntambala akitoa maelekezo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba nane  za  Ghorofa kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis alipotembelea mradi huo ambao gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita  huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zilizopo eneo la Kikombo, jijini Dodoma zinatarajiwa kuhifadhi familia themanini za askari.Wakwanza kushoto ni Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Khamis (wapili kushoto), akiwasili eneo la Kikombo lililopo jijini Dodoma ambako kunajengwa nyumba nane za ghorofa  zinazoonekana pichani ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Tano huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zinatarajiwa kuhifadhi familia .Wakwanza kushoto ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jesshi la Zimamoto,Mhandisi Julius Ntambala Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad