HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 8 December 2020

Miamba ya Soka Duniani Kuchuana Kwenye Ligi ya Mabingwa

*Ni Barcelona dhidi ya Juventus Leo Usiku!

KATIKA kuhitimisha hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa, Kundi G kumalizika kwa Barcelona kuwakaribisha Juventus katika dimba la Camp Nou leo usiku. 

Hapa Lionel Messi, kule Cristiano Ronaldo. Uhasimu unaanza upya!


Licha ya kwamba timu zote 2 zimeshafuzu hatua ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa, bado huu ni mchezo wenye upinzani wa aina yake.


Barcelona anaongoza Kundi G akiwa na pointi 15 akifuatiwa na Juventus ambaye anapointi 12 baada ya michezo 5. Utofauti wa pointi 3 na magoli 7 unawafanya Barca kuingia kwenye mchezo huu wakijiamini zaidi.


Miamba hii imeshakutana mara 10 kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa. Takwimu zinaonesha Juventus ameshinda mara 2, Barca ameshinda mara 4 na wamesuluhu mara 4.


Katika mchezo wa kwanza kati ya Barcelona na Juventus, Barca aliibuka kidedea na Juve walishindwa kutamba nyumbani kwao. Mchezo ambao Cristiano Ronaldo alikosekana kutokana na maambukizi ya COVID19. 


Safari hii, ulimwengu unakwenda kushuhudia upinzani mkali kati ya Ronaldo na Messi, hawa ni mahasimu wa soka tangu wakiwa La Liga, wakati ule Cristiano Ronaldo alikuwa anaitumikia Real Madrid. Upinzani wao uwanjani ni kati ya vitu vinavyowafanya kuwa wachezaji wenye mafanikio makubwa kwenye ulimwengu wa soka duniani katika karne hii ya 21.

Kwa upekee wa mchezo huu, Waatalamu wa Meridian hawajafanya makosa kwenye kuweka odds zinazoendana na mtanange huu.


Ushindi kwa Barcelona umepatiwa odds ya 2.11, matokeo ya ushindi kwa Juventus yanaodds ya 3.28 wakati ambapo matokeo ya sare yanaodds ya 3.57.

Pamoja na mchezo huu, kunamichezo mingine 7 itakayochezwa katika mzunguko wa 6 wa Ligi ya Mabingwa, unaweza kujionea odds za michezo hiyo kwa kubofya hapa.


Jisajili na Meridiabet hapa na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

7 comments:

Post Bottom Ad