HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 22 December 2020

Everton na Manchester United Kukiwasha kwa mara ya 205, itakuwa ni vita

 *Upande wa pili kutakuwa na vita nyingine ambapo Carlo Ancelotti atamkaribisha Ole Gunnar Solskjaer pale Goodison Park

Everton na Manchester United watakutana kwa mara ya 205 katika historia ya soka nchini Uingereza. Takwimu zinaonesha, kuelekea mchezo huu – United ameshinda michezo 89, amepoteza michezo 70 na wametoka sare mara 45.


Katika michezo 10 ya mwisho kwa timu hizi kukutana kwenye mashindano yote, United ameshinda mara 5, wametoka sare mara 4 na Everton ameshinda mara 1.


Hii ni michezo ya hatua ya robo fainali kwenye EFL Cup . Yeyote atakayepoteza mchezo huu atayaaga mashindano. Je ni Ole, Ancelotti, Guardiola au Arteta atakayeibuka kidedea au pengine kufungasha virago msimu huu? 


Mchongo mzima upo kwa Wataalamu wa Meridian, odds za kibingwa kwa michezo hii na mingine mingi ipo hapa.


Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

A picture containing text, signDescription automatically generated

5 comments:

Post Bottom Ad