RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na
Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammed Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment