HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 19, 2020

RAIS DK. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA REFOCUS AFRICA

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Refocus Afrika uliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo ambapo mazungumzo hayo yamegusia zaidi kuhusu masuala mbali mbali ya michezo,Filamu na Muziki
hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu].18/11/2020.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Refocus Afrika uliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo ambapo mazungumzo hayo yamegusia zaidi kuhusu masuala mbali mbali ya  michezo,Filamu na Muziki
hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu].18/11/2020.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad