Ni Super Sunday Ndani ya EPL! London Derby kuchezwa Darajani – Stamford Bridge - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 28, 2020

Ni Super Sunday Ndani ya EPL! London Derby kuchezwa Darajani – Stamford Bridge

*Chelsea Kuwakaribisha Tottenham Hotspurs!


MOJA kati ya michezo yenye ushindani wa kipekee ni London Derby, mchezo kati ya Chelsea na Tottenham haujawahi kuwa wa mzaha mzaha, kila timu huwa inatafuta matokeo kwa namna yeyote ile.


Jumapili hii majira ya saa 1:30 usiku, dimba la Stamford Bridge litapambwa kwa jezi za blue na nyeupe pale ambapo Chelsea watakapomkaribisha kocha wao wa zamani – Jose Mourinho akiwa na vijana wake wa Tottenham Hotspurs.


Chelsea na Tottenham wameshakutana mara 167 katika historia ya soka. Chelsea ameibuka kidedea mara 72, wametoka sare mara 44 na Spurs ameshinda mara 55.

Tukiutizama msimu huu mpaka sasa, timu zote zimeanza vizuri. Tottenham ni kinara wa EPL kwa sasa akiwa na pointi 20 baada ya michezo 9 na Chelsea anakamata nafasi ya 3 akiwa na pointi 18 baada ya michezo 9.


Msimamo wa EPL pekee, unaweza kutuonesha ni namna gani mchezo huu utakuwa ni ‘patashika- nguo kuchanika’ ndani ya dimba la Stamford Bridge Jumapili hii.


Nani atakupatia faida wikiendi hii? Ushindi kwa Chelsea umepewa odds ya 2.11, ushindi kwa Tottenham unaodds ya 3.38 wakati matokeo ya sare yamepewa odds ya 3.43.


Kama ilivyokawaida, mashindano yakiwa yanaendelea kwenye Premier League, duka la Meridian bet ni sehemu utakayoweza kufuatilia kila kinachoendelea.


Pamoja na mchezo huu, kunamichezo mingine kibao inayochezwa katika wiki ya 10 ya Ligi ya Uingereza - EPL, unaweza kujionea odds za michezo hiyo kwa kubofya hapa.


Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!


9 comments:

Post Bottom Ad