HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 7, 2020

UMOJA WA MABENKI WAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA ELIMU YA KIFEDHA IITWAYO NIKO FITI.

  Umoja wa wenye mabenki Tanzania (TBA) umezindua kampeni ya kuhamasisha elimu ya Kifedha iitwayo Niko Fiti. Akizungumza wakati wa uzinduzi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dr.Bernard Kibese alizipongeza benki kwa kubuni mkakati huu Na kuzitaka kuendelea kuongeza ubora wa huduma zao Na elimu ya fedha kwa wateja.

Kwa upande wake mwenyekiti TBA Abdulmajid Nsekela amesema Niko Fiti ni mkakati mahususi wa kuongeza elimu Na kujali wateja unatekelezwa Na wanachama wote wa TBA. Tunafurahi pia kwamba mkakati huu unakuja wakati wa wiki ya wateja inaanza hivyo kwenda sambamba Na umuhimu wa kuboresha huduma Na uelewa wa wateja wa huduma za kibenki.




 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad