HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 5, 2020

MGOMBEA MWENZA WA CCM AFANYA MKUTANO WA KAMPENI SIKONGE TABORA

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Sikonge Tabora alipowasili katika uwanja wa CCM Sikonge Mkoani Tabora kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM leo Octoba 05,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa CCM Sikonge Mkoani Tabora leo Octoba 05,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Sikonge Tabora wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa CCM Sikonge  Mkoani  leo Octoba 05,2020.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad