Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF
Nd.Sabra Issa Machano alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Nyumba
za makaazi za”ZSSF MBWENI REAL ESTATE” zilizojengwa na kampuni ya DEZO
CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam kwa ajili ya kuzifunguya
rasmi leo.[Picha na Ikulu] 21/09/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya
Mradi wa Nyumba za makaazi za “ZSSF MBWENI REAL ESTATE” zilizojengwa na
kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam ajili
ya kuzifunguya rasmi leo.[Picha na Ikulu] 21/09/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi
wa “ZSSF MBWENI REAL ESTATE” zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL
ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alizozifunguliwa leo
(kulia) Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia
Abdiwawa,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi(kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Suleiman Rashid Mohamed
(wa pili kushoto). [Picha na Ikulu] 21/09/2020.
Waziri
wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa alipokuwa
akimkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na na wananchi wakati wa hafla
ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa “ZSSF MBWENI REAL ESTATE”
zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es
Salaam alizozifunguliwa leo.[Picha na Ikulu] 21/09/2020.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Nd.Khamis Mussa Omar alipokuwa
akitoa taarifa ya Kitaalam Ujenzi wa Nyumba za Mradi wa “ZSSF MBWENI
REAL ESTATE” zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING
CONSTRUCTION ya Dar es Salaam kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na wananchi
wakati wa hafla ya Ufunguzi zilizofunguliwa leo Mbweni Magharibi A
Unguja.[Picha na Ikulu] 21/09/2020.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Mfuko wa ZSSF wakiwa katika
hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za”ZSSF MBWENI REAL
ESTATE” zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION
ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na
Ikulu] 21/09/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Suleiman Rashid
Mohamed alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Nyumba za makaazi za
“ZSSF MBWENI REAL ESTATE” zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL
ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam ajili ya kuzifunguya rasmi
leo.[Picha na Ikulu] 21/09/2020.
No comments:
Post a Comment