RITA YASHIRIKI KAMPENI YA 1STOP HUDUMA MBAGALA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 17, 2020

RITA YASHIRIKI KAMPENI YA 1STOP HUDUMA MBAGALA

 

Maafisa wa RITA wakiwa wanatoa huduma kwa wananchi waliojitokeza katika banda hilo kupata huduma ya vyeti vya kuzaliwa kwenye kampeni ya 1stop huduma Katika eo katika Viwanja vya  Zakhem Mbagala wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)Afisa usajili RITA,Mariam linga'nde(kulia) akimwelekeza Mwananchi namna ya kujaza fomu ya cheti cha kuzaliwa leo  katika kampeni 1stop huduma kwenye viwanja vya Zakhem  wilaya Temeke jijini Dar es Salaam.Wananchi wakiwa kwenye foleni katika banda la RITA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad