MGOMBEA WA URAIS WA CCM AWASILI DODOMA LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 22, 2020

MGOMBEA WA URAIS WA CCM AWASILI DODOMA LEO

 

 

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad