MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT. MAGUFULI AUNGURUMA ITIGI NA TURA IGALULA, TABORA LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 22, 2020

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT. MAGUFULI AUNGURUMA ITIGI NA TURA IGALULA, TABORA LEO

 

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Itigi katika wilaya Manyoni mkoani Singida mara baada ya kumaliza mikutano ya Kampeni katika mkoa wa Tabora leo tarehe 22 Septemba 2020.

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida mara baada ya kuwasili akitokea mkoani Tabora. 

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Tura Igalula mkoani Tabora wakati akielekea Itigi mkoani Singida katika muendelezo wa Mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020.

Wananchi wa Kijiji cha Tura Igalula mkoani Tabora wakimsikiliza Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili kijijini hapo leo tarehe 22 Septemba 2020.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad