Mgombea Ubunge wa jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma kwa
tiketi ya ACT Wazalendo, Julius Masabo akiwaomba kura wakazi wa
Kibondo mjini wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni za mgombea
huyo.(Picha na Said Powa)
Wananchi wa Kibondo mjini wakimsikiliza sera za mgombea huyo
No comments:
Post a Comment