Mchezo wa NBA, Western Conference Kuendelea Usiku wa leo - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 25, 2020

Mchezo wa NBA, Western Conference Kuendelea Usiku wa leo

 Denver Nuggets dhidi ya LA Lakers, nani atacheza fainali?

Denver Nuggets wameonesha uwezo wao wa kupambana dhidi ya LA Lakers, hakuna sababu ya kuamini kwamba hawawezi kuibuka kidedea katika mchezo huu.

Zinapokutana timu hizi, ni burudani iliyosheheni upinzani mkali. Baada ya mchezo wa 3 na ushindi wa kwanza kwa Denver, Nikola Jokic alisema hasumbuliwi na maneno ya watu na badala yake, ataendelea kuonesha uwezo wake kwenye mchezo wa kikapu.

Lakers waliibuka kidedea kwenye mchezo wa 4 kwa pointi 114-108 na sasa matokeo ya jumla ni 4-1. Kwa matokeo haya, Lakers wanahitaji ushindi 1 tu, wathibitishe ushiriki wao kwenye fainali ya NBA 2020.  

Anthony Davis na LeBron James wanaendelea kuwasumbua wachezaji wa Denver Nuggets, japokuwa Nikola Jokic na Jamal Murray wanajitahidi kuonesha upinzani uliothabiti dhidi ya LA Lakers. 

Hakika Denver sio wa kupuuziwa dhidi ya Lakers. Nuggets ni timu ya kwanza kwenye NBA kupindua matokeo katika michezo miwili ndani ya msimu mmoja wakiwa wameshafungwa 3-1. Walifanya hivyo dhidi ya  Utah Jazz na LA Clipers. 

Mchuano huu unajumla ya michezo 7. Mchezo wa 5 kuchezwa usiku huu. Kufuatia upinzani wa timu hizi, hii inatupa nafasi ya kuamini kwamba hakuna kinachoshindikana katika mchezo wa kikapu! 

Kwa vile unafursa ya kujipatia pesa, unapaswa kuweka tiketi yenye ubashiri wako kupitia Wataalamu wa Meridian.

Tunafahamika kwa ofa nzuri na odds kubwa, umepatiwa fursa ya kipekee na yenye kuvutia – furahia mchezo wa kikapu na ujipatie pesa!

Si lazima kuweka utabiri wako kabla mechi hizi hazijaanza. Meridian wanakupa nafasi ya kuisapoti timu yako hata kama zimebaki dakika chache mchezo huu kumalizika. Hii inawezekana na inapatikana, pongezi kwa chaguo la utabiri mubashara kwenye Meridian.

Kama unazipenda fursa za NBA, basi jaribu bahati yako na utabiri mshindi wa Ligi ya NBA msimu wa 2019/20.

Meridian – nyumba ya odds nzuri na bonasi kubwa.

.

12 comments:

Post Bottom Ad