HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 19, 2020

MAJALIWA AMJULIA HALI MAMA MARIA NYERERE

 

 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara,

 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mtoto wa Hayati Julius Nyerere, Madaraka Nyerere, wakati alipowatembelea, nyumbani kwa Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara, Septemba 19, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad