Kuwa Gwiji kwenye Shindano la Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 15, 2020

Kuwa Gwiji kwenye Shindano la Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet!

Meta description: Unataka kuweka zawadi yenye thamani ya TZS 25,000,000 mikononi mwako? Jiunge kwenye Shindano la Playson Legends kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet likiwa na kapu la zawadi lenye thamani ya TZS 160,000,000 kwa ajili yako.


Title:

Kuwa Gwiji kwenye Shindano la Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet!


Sote tunajua kasino za mitandaoni kama Meridianbet zinavutia. Tovuti za kasino zinaburudani kedekede zinazowafanya wachezaji kuendelea kucheza na kuwapa wachezaji wapya sababu ya kujiunga. Hii ni faida kubwa ukilinganisha na wapinzani wetu.

Ukiacha bonasi na promosheni, mashindano ni mbinu ya kujipatia pesa kama unajiamini unastadi za kuwashinda wapinzani. Moja ya mashindano hayo yatapatikana kuanzia Septemba 15 kupitia Meridianbet. Playson Legends ni mchezo uliotengenezwa na studio maarufu na unakapu kubwa la zawadi lenye thamani ya TZS 160,000,000

Weka tabiri 20 za ushindi kwenye michezo inayoshiriki na utakuwa kwenye nafasi kubwa ya kujishindia pesa.

Pesa halisi kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa ajili ya Magwiji.

Mashindano ya pesa halisi yataanza kupatikana kwa wachezaji wa Meridianbet kuanzia Septemba 15 mpaka 21. Katika muda huo, utapata nafasi ya kujaribu bahati yako kwenye mchezo wa Playson na kujiweka  kwenye nafasi ya kujishindia pesa taslimu.


Cheza mchezo wowote kati ya hii na uwe kwenye nafasi ya kujinyakulia zawadi:

  • Buffalo Power: Hold and Win

  • Sunny Fruits: Hold and Win

  • Pearly Beauty: Hold and Win

  • Diamond Wins: Hold and Win

  • Vikings Fortune: Hold and Win

  • Solar Temple

  • Solar Queen

  • Book of Gold: Multichance

  • Burning Wins: Classic 5 Lines

  • Rise of Egypt Deluxe

Jinsi ya kujiunga na Shindano.

Wachezaji wa Meridianbet wanaotaka kujiunga kwenye shindano, wanatakiwa kuweka tabiri 20 za ushindi kwenye mchezo wowote unaoshiriki kwenye Playson. Kiwango cha chini cha kutabiri ni TZS 2000. Katika kila utabiri unaoweka kwenye michezo 10, utapata pointi ambazo zitaongezwa kwenye matokeo ya jumla baada ya kufuzu. Kadiri unavyopata pointi, unaendelea kupanda kwenye chati ya wachezaji.

Pointi zinahesabiwa kwa kila mzunguko. Utapata pointi 10 kwa kila utabiri utakaoshinda wakati wa mchezo. Kwa lugha nyepesi, TZS 20,000 TSh ya ushindi kwa dau la TZS 2,000 ni sawa na pointi 100.

Zawadi ni zipi?

Playson Legends ni shindano lenye pesa takribani TZS 160,000,000 tayari kwa kushindaniwa. Ushindi wa pesa umepangwa kwa jumla ya wachezaji 201. Mshindi wa kwanza atajipatia zawadi ya TZS 20,000,000. Wa pili atapata TZS 12,000,000 , wakati wa tatu atapata TZS 8,000,000

Jumla ya wachezaji 201 watagawana kapu la ushindi. Mshindi wa mwisho atapata TZS 100,000, sio mbaya kwa dau dogo lililoshiriki. Kama utakuwa mwenye bahati ya kuwa kati ya washindi, utapokea pesa yako ndani ya siku 3 za kazi (Masaa 72)

Mchezo unazingatia vigezo na masharti ya Meridianbet. Hauruhusiwi kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine ili ushinde. Ikitokea hivyo, Meridianbet wanahaki ya kuzuia zawadi yako.

Unasifa za kuwa gwiji wa Meridianbet?

Studio maarufu iliyotengeneza Buffalo Power na Fruity Crown, imekuwa ikijulikana kwa kuwashangaza mashabiki na mashindano yenye zawadi kubwa. The Playson Legends ni mchezo wenye kapu kubwa la zawadi kwa jumla ya wachezaji 201.

Kama unataka kuwa gwiji wa Playson Legends, shiriki kwenye shindano kupitia Meridianbet na ujaribu kuwa juu kwenye orodha ya washindi upate ushindi mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad