Jilipe na Meridianbet Pale Liverpool Anapoumana Leeds Unite - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 11, 2020

Jilipe na Meridianbet Pale Liverpool Anapoumana Leeds Unite

  Jilipe na Meridianbet Pale Liverpool Anapoumana Leeds Unite

KWA wapenzi wa soka, tulikuwa na hamu sana ya kuona msimu wa soka unarejea. Kuna mechi kibao Ligi Kuu Uingereza, hapa tunakuletea mechi bora. Bila shaka mabingwa Liverpool watakuwa wanataka kuthibitisha kuwa hawakubahatisha msimu uliopita, wakati kila timu ikiwa na malengo mapya msimu huu 2020/21.

Leeds anasafiri kuelekea Anfield, anaenda kuumana na mabingwa wa msimu uliopita, majogoo wa jiji –Liverpool ambao wanatarajia kumtunishia kifua Mgeni wake. Wapo wanaoamini kuwa hiki ni kibarua kigumu zaidi kwa Leeds United kwenye Mechi yake ya kwanza ya msimu wa Ligi Kuu Uingereza

 Tukiangalia rekodi za haraka, wenyeji Liverpool wameshinda mechi 25 kati ya mechi 26 zilizopita za ligi pale Anfield. Pia, wenyeji hawajapoteza gemu hata moja katika mechi zao 59 za nyumbani tangia April 2017.


Hata hivyo, hii haimaanishi Leeds hawana kitu mbele ya Liverpool! Ndiyo maana Meridianbet wamekuwekea Odds kubwa na machaguo mengi zaidi ya 700 ili uweze kuchagua nani, akulipe. Leeds United pia alishinda Championship kwa pointi 10 zaidi msimu uliopita, wanahitaji kutumia mfumo ule ule wa msimu uliopita kuwinda ushindi dhidi ya Liverpool. 


Liverpool wanapigiwa upatu zaidi kushinda mechi hii, lakini kuna ubishani kuwa siku za mwanzo hazina mwenyewe, Liverpool Wanaweza wasianze na kasi ile ambayo watu wanaitarajia. 


Meridianbet ndiyo kiwanja chako cha ushindi; hapa tunakuletea machaguo mengi ya kubashiri kuanzia nani ashinde, idadi ya magoli, magoli kupatikana witiri au shufwa, matokeo kamili, idadi ya koda, Odds kubwa na machaguo kibao zaidi.

Bila kusahau, asilimisa  5% ya bonasi kwa kila muamala unaoufanya kuingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet ni uhakika. Unalipwa asilimia 100% ukipoteza tiketi yako ya kwanza. Fungua akaunti yako sasa.7 comments:

Post Bottom Ad