BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KUTOA MAONI KWA NJIA YA KIDIGITALI (QR CODE), ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 16, 2020

BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KUTOA MAONI KWA NJIA YA KIDIGITALI (QR CODE), ZANZIBAR


MGENI Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya Kidigitali QR, Mhe. Ussi Salum Pondeza (wa pili kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa mfumo huo, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Tawi la Benki ya CRDB Zanzibar, Kisiwandui Mjini Unguja. Wapili kulia ni Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Pwani, Badru Idd.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Pwani, Badru Idd, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya Kidigitali QR. Hafla iliofanyika katika ofisi za tawi hilo Kisiwandui Mjini Unguja.
Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya Kidigitali QR. Mhe. Ussi Salum Pondeza, akizungumza na mawakala, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi za tawi hilo Kisiwandui Mjini Unguja.
Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa kutoa Maoni kwa njia ya Kidigitali QR. Mhe. Ussi Salum Pondeza, akijaribu kujiunga kwa kutumia simu yake ya mkononi ili aweze kutoa maoni yake kwa njia ya Kidigitali.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo na Mawakala wakifatilia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad