Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki
na waumini wengine katika Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A"
ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya
Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23, 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa
na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya
aliposhiririki Misa Takatifu ya Dominika ya 21
ya Mwaka "A" na kuzindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya
Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,
2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha
harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu
ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya
Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino
leo Jumapili Agosti 23, 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
michango kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus
Kinyaiya kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti wa Chamwino baada ya kuitisha
Harambee aliposhiririki Misa Takatifu ya Dominika
ya
21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na
Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili
Agosti 23,. 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi
michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya
aliposhiririki iliyotokana na harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa
Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya
21
ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto
ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti
23, 2020
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru
baada ya kukabidhi michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma
Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki iliyotokana na harambee
kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya
Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya
Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino
leo Jumapili Agosti 23,. 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus
Kinyaiya, Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania )TEC) Padri Dkt. Charles
Kitima na Paroko wa Kanisa hilo Paul Mapalala baada ya kushiriki Misa
Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa,
Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu
Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020.
Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
msikiti wa Chamwino na maeneo yake baada ya kuendesha harambee ya
kuchangia ujenzi wake wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka
"A" wakati wa uzinduzi wa Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya
Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti
23,. 2020. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment