WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MJI WA TUNDUMA NA KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 6, 2020

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MJI WA TUNDUMA NA KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Julai 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Momba, David Silinde akiwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Tunduma, Julai 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Mbunge wa Momba David  Silinde (kulia) akiongoza sala maalum ya kuwaombea viongozi wakuu wa kitaifa wakati alipopewa fursa ya kuwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Tunduma, Julai 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad