Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe. Jaji Frances Mutungi akizungumza wakati
wa kufungua mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya
siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili
wa Vyama vya Siasa(ORPP) leo tarehe 14 Julai jijini Dodoma. Mafunzo
hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP
katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza akiwasilisha mada
kuhusu sheria ya vyama vya siasa na kanuni zake wakati wa mafunzo
kuhusu sharia hiyo kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa(ORPP) leo tarehe 14 Julai jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika
ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato
wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Mkuu wa Sehemu ya Usajili wa Vyama vya Siasa, Bw. Muhidin Mapeyo
akiwasilisha mada kuhusu kanuni za maadili ya vyama vya siasa wakati wa
mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria
ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa leo tarehe 14 Julai jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa
ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Baadhi ya washirikI wa mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya
vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi
ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo tarehe 14 Julai jijini Dodoma.
Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi
wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.Msajili
wa Vyama vya Siasa Mhe. Jaji Frances Mutungi(aliyekaa katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa (ORPP) mara baada ya kufungua mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya
sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi kwa
watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo tarehe 14 Julai
jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki
wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka
2020.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama, Bibi. Chevu Sepuka na
Muhudumu wa Simu, Bi. Rose Lazaro.
Wednesday, July 15, 2020
WAtumishi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Wapigwa Msasa Sheria ya Vyama vya Siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment