IJUMAA iliyopita Leeds United walitwaa Ubingwa wa EFL Championship, kutwaa ubingwa huo umewahakikishia nafasi ya kushiriki Premier league msimu ujao, baada ya kutumikia miaka 16 katika Ligi Madaraja ya chini. Japo, sio kila kitu kimemalizwa kuhusiana na kupanda Ligi Kuu, Jumatano hii, mashabiki wa kubashiri watakuwa na sherehe kubwa kwaajili ya Michuano ya pili kwa ukubwa Uingereza kupambania nafasi ya kushiriki Premier League.
Mpambano wa kupanda Ligi Kuu bado unaendelea – vilabu vitatu vina matumaini ya kupanda kutokana na nafasi na alama zao katika msimamo - West Bromwich (82), Brentford (81) na Fulham (80).
Mahesabu yako sawa - West Bromwich wapo tayari kwa mechi inayofuata dhidi ya QPR, ushindi utawapatia nafasi ya kucheza Premier League msimu ujao.
Katika hatua nyingine Brentford na Fulham hawawezi kukubali kupoteza ili kuendelea kuweka matumaini ya kucheza Premier league hai. Fulham wapo katika nafasi mbaya kwani anategemea kufungwa kwa West Bromwich na Brentford.
Ni mzunguko unaovutia zaidi kwenye Championship, na kituo chako pendwa cha ubashiri Meridianbet wamekuandalia ofa bomba na kama ulivyo utamaduni wetu wa odds nzuri. Mahususi kwaajili ya mzunguko huu, kuna zaidi ya machaguo 9,500 ya ubashiri na odds yanakusubiri! Italian Serie A bado bingwa hajapatikana na wanaelekea kwenye mzunguko wa 35.
Hakuna wakati mzuri kama kujisajili na MeridianBet na kupata faida ya kujisajili, kama umefungua akaunti mpya kwetu utapata 50 FREE SPINS kutumika kwenye Meridianbet Casino na kwa aliyejisajili mpenda michezo atapata bonasi 100% ya mkeka wa kwanza aliopoteza, kama utatumia kati ya1000-12500 Tsh kwenye tiketi ya kwanza.
Habari motomoto
ReplyDeleteImekaa powa sana
ReplyDeleteSafi sn
ReplyDeleteSafi sana
ReplyDeleteiko vzur sana na leo mwisho wa championship nan anabak na nani anaenda
ReplyDeleteMatokeo tutayaona nani abaki nani aende
ReplyDeleteMambo moto
ReplyDeleteMambo moto
ReplyDeleteHii ipo poa sana kila timu inatakiwa kupambana ili kushinda
ReplyDeleteTukutane epl miamba ya championship
ReplyDeleteKumenoga
ReplyDeleteKumenoga si mchezo kila mtu anataka kupanda daraja
ReplyDeleteImekaa poa sana 👍
ReplyDeleteSafii
ReplyDeleteHaina kuremba ni kukamua tu mechi za lala salama.
ReplyDeleteApo ukisikia mtu kawa tajiri ndo Sasa meridianbettz
ReplyDeleteMambo mazuri
ReplyDeleteMeridian kuna mambo mazur
ReplyDeletesafi sana hii inapendeza
ReplyDeleteNoma sana
ReplyDeleteMuda wa kupiga mkwanja
ReplyDeleteMuda wa kupiga mkwanja
ReplyDeletePongezi kwao
ReplyDeleteLeeds amepambana vya kutosha adi kujiwekea nafasi ya kucheza ligi kuu, wanastahili pongezi
ReplyDelete