Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipomtambulisha Mgombea Urais
Dk.Hussein Ali Mwinyi,
katika mkutano wa kumtambulisha uliofanyika leo viwanja vya Ofisi ya
CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta na
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi,
katika mkutano wa kumtambulisha uliofanyika leo viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment