
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas, jana ametembelea ofisi za Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (Cosota) jijini Dar es Salaam na kuwataka Bodi na wafanyakazi, baada ya taasisi hiyo kuhamishiwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wachape kazi zaidi na kwa kasi na kuhakikisha taasisi hiyo inageuka kuwa kimbilio la wadau wa sanaa na ubunifu nchini na hasa kufikia lengo la kuwafanya wasanii na wadau wengine wa kazi za sanaa za ubunifu Tanzania kuwa mashuhuri-tajiri na si mashuhuri-maskini.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na ambaye pia ni
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas, akifafanua jambo alipotembelea ofisi za
Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (Cosota) jijini Dar es Salaam na kuwataka
Bodi na wafanyakazi, baada ya taasisi hiyo kuhamishiwa Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wachape kazi zaidi na kwa kasi na
kuhakikisha taasisi hiyo inageuka kuwa kimbilio la wadau wa sanaa na
ubunifu nchini na hasa kufikia lengo la kuwafanya wasanii na wadau
wengine wa kazi za sanaa za ubunifu Tanzania kuwa mashuhuri-tajiri na si
mashuhuri-maskini.

No comments:
Post a Comment