Diamond Blackjack ndio Habari mpya kwenye Michezo ya Mezani - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 5, 2020

Diamond Blackjack ndio Habari mpya kwenye Michezo ya Mezani

Meridianbet kasino imetengeneza utaratibu mzuri sana wa kuwapa wateja wake michezo bora ya Sloti na Karata. Na imekua si ajabu tena kwakua tumekuletea mchezo mwingine Bora kabisa wa Sloti Kasino wa Diamond Blackjack.

Blackjack ya kwanza kabisa ya Meridian ni Mchezo wa karata wa mezani ambao Haukwepeki na wala hautabiliki  ukilinganisha na michezo mingine ya Kasino inachochezwa kidigitali. Mchezo huu umeleta pamoja Upekee na mpangilio wa karata unaochezwa kwa Ubora, na kwa mfumo sahihi sana pamoja na mpangilio mzuri sana wa Sauti unaoendana na Kasino halisi.

Katika muunganiko wa michezo mingi ya kuvutia na kubashiri ndani ya Meridian, Diamond Blackjack ni Top-notch "table game" ambayo inamfanya Mchezaji kucheza hadi mara tatu kwa mara moja.

Katika kila mzunguko mchezaji ana uhuru wa kuchagua kama atacheza kwa nafasi moja, mbili au tatu na kuamua kucheza kwa nafasi tofauti, kwa ku cheza moja moja kutoka kulia kuja kushoto.

Mchezo utachezwa kulingana sheria za Blackjack zilizowekwa, na lengo la mchezo ni kuweka jumla ya karata sawa au karibu lakini kwa namna yoyote isizidi namba 21, Ambapo mchezaji anatakiwa kua na point nzuri kuliko Dealer, Kama ulivyozoea Karata ni kuanzia 2 mpaka 10 zina thamani yake, King, Queen na  gendarme ina thamani ya 10, wakati Ace ina thamani ya 1 au 11.

Japo Blackjack ni mchanganyiko bora wa Casino, karata na bahati, lakini pia ni mchezo wa ujuzi, ambao unakuhakikishia msisimko mkubwa wa Casino na karata za kipekee, kila sekunde unayocheza ina msisimko wake.

Meridianbet Casino na Diamond Blackjack – Ni muunganiko bora kwa mchezo wa karata za kipekee.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad