DMF NA TIKA WATOA MSAADA WA FUTARI KWA KAYA 150 WILAYANI BAGAMOYO, PWANI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 20, 2020

DMF NA TIKA WATOA MSAADA WA FUTARI KWA KAYA 150 WILAYANI BAGAMOYO, PWANI

Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini,Doris Mollel (wa pili kulia) akimkabidhi  Mzee Rajabu Nyaza msaada wa futari waliyoitoa kwa kaya 150 za Kata ya mbili za wilaya ya Bagamoyo (Kiromo na Kitopeni) kwa kushirikiana na Shirika la Uratibu wa Maendeleo la Uturuki (TIKA) ikiwa ni lengo la kuwafikia baadhi ya waumini wa kiislamu wenye uhitaji maalumu katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. wa pili kushoto ni Mbunge wa Bagamoyo, Dkt Shukuru Kawambwa na kulia ni Muwakilishi wa  TIKA, Badrudeen Yassin.
 Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini,Doris Mollel (kulia) akishuhudia Bibi Arafa akipokea sehemu ya msaada wa futari kuroka kwa Muwakilishi wa Shirika la Uratibu wa Maendeleo la Uturuki (TIKA), Badrudeen Yassin.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad