WANANCHI WAENDELEA KUJIKINGA NA CORONA JIJINI DAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 29, 2020

WANANCHI WAENDELEA KUJIKINGA NA CORONA JIJINI DAR

Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala  Mbezi Luis wilaya ya Ubungo, kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massak) 


 Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo daladala  Mbagala   rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad