Rais wa Zanzibar Dkt. Shein afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa China - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 4, 2020

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa China


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar  Bw. Xie Xiaowu wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa  ajili ya kusalimiana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akifuatana na  mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake hapa Zanzibar Bw. Xie Xiaowu baada ya mazungumzo yao  leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu]

1 comment:

  1. Kwenye kusalimiana kwa kupeana mikono sijaelewa kabisa au hii event ni ya muda kidogo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad