Matukio ya ziara ya kimasomo ya washindi wa shindano la CMSA kwa Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 29, 2020

Matukio ya ziara ya kimasomo ya washindi wa shindano la CMSA kwa Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama akizungumza na wanafunzi (hawapo pichani) wakati wa ziara ya mafunzo ya washindi wa shindano la vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu kwa mwaka 2019 linaloendeshwa na CMSA.
Watendaji wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa mamlaka hiyo (hayupo pichani)wakati wa ufunguzi wa ziara ya kimasomo kwa washindi.
Ofisa wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) akiwafundisha wanafunzi vinara wa shindano la vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu kwa mwaka 2019. 

Ofisa wa Soko la Hisa Dar es Salaam(DSE)wakiongea na wanafunzi.
Mkurugenzi wa Utafiti,Sera na Mipango CMSA, Alfred Mkombo (wa kwanza kulia) na Mkurugenzi wa Usimamizi na Maendeleo ya Masoko CMSA,Exaut Julius. 

Mkurugenzi wa Utafiti,Sera na Mipango CMSA, Alfred Mkombo akiwasilisha mada katika ziara ya wanafunzi washindi wa shindano la CMSA kwa vyuo vikuu. 

Baadhi ya washindi wa Shindano linaloendeshwa na CMSA kwa vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu kwa mwaka 2019. 

Mmoja wa watendaji akizungumza na wanafunzi. 

Mkurugenzi wa masuala ya kisheria, Fatma Simba, akizungumza na wanafunzi (hawapo pichani) 

Picha ya Pamoja ya wanafunzi vinara wa shindano la CMSA kwa vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu. Wa Kwanza kushoto ni Ofisa wa Mawasiliano CMSA, Charles Shirima.
Picha ya pamoja ya wanafunzi na watendaji wa CMSA.
Wanafunzi vinara wa shindano la CMSA kwa mwaka 2019

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad