KAMPUNI YA EY TANZANIA YAFUNGA MWAKA KIAINA YAKE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 23 December 2019

KAMPUNI YA EY TANZANIA YAFUNGA MWAKA KIAINA YAKE

Kampuni ya EY Tanzania imewakutanisha pamoja wafanyakazi wake wote katika hafla ya usiku wa funga mwaka, ikiwa ni kushehekea baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha mwaka mzima na kwa mafanikio makubwa. katika hafla hiyo ya usiku Wafanyakazi hao waliweza kutunukiwa tuzo mbalimbali ikiwemo ya mfanyakazi Bora wa mwaka na ile ya mfanyakazi wa muda mrefu kazini.
Meneja Mkazi wa Kampuni ya EY Tanzania, Joseph Sheffu (kulia) akiwa na Watendaji Wakuu Mwenza wa Kampuni hiyo, Neema Kiure Mssusa (wa pili kulia), Deokari Mkenda (wa pili kushoto) pamoja na Silke Mattern wakikata keki kwa pamoja katika hafla ya kufunga mwaka, kwa wafanyakazi wote wa Kampuni hiyo, iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.
Meneja Mkazi wa Kampuni ya EY Tanzania, Joseph Sheffu akingumza na Wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika hafla ya usiku wa funga mwaka, ikiwa ni kushehekea baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha mwaka mzima na kwa mafanikio makubwa, iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.
 Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu wa Kampuni ya EY Tanzania, Samuel Mtoni akingumza na Wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika hafla ya usiku wa funga mwaka, ikiwa ni kushehekea baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha mwaka mzima na kwa mafanikio makubwa, iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.
 Meneja Mkazi wa Kampuni ya EY Tanzania, Joseph Sheffu (wa tatu kulia) akimkabidhi tuzo ya Mfanyakazi Bora wa Mwaka, Moza Sechonge (katikati) wakati hafla ya usiku wa funga mwaka, ikiwa ni kushehekea baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha mwaka mzima na kwa mafanikio makubwa, iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.
Meneja Mkazi wa Kampuni ya EY Tanzania, Joseph Sheffu akiwahudumia baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.
Mtendaji Mkuu Mwenza wa Kampuni EY Tanzania, Neema Kiure Mssusa akiwahudumia baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.
Mtendaji Mkuu Mwenza wa Kampuni EY Tanzania, Silke Mattern akiwahudumia baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.
Mtendaji Mkuu Mwenza wa Kampuni EY Tanzania, Deokari Mkenda akiwahudumia baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana, mwishoni mwa wiki.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad