WAZIRI MKUU ASHIRIKI KATIKA SALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA NUNGE, JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 8 November 2019

WAZIRI MKUU ASHIRIKI KATIKA SALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA NUNGE, JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya Sala ya Ijumaa, kwenye Msikiti wa Nunge, Jijini Dodoma, Novemba 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza mawaidha, kabla ya Sala ya Ijumaa, kwenye Msikiti wa Nunge, Jijini Dodoma, Novemba 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Alhaji, Ismail Dawood, baada ya Sala ya Ijumaa, kwenye Msikiti wa Nunge, Jijini Dodoma, Novemba 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono wananchi, wakati akitoka kwenye Msikiti wa Nunge, Jijini Dodoma, Novemba 8, 2019, baada ya kushiriki sala ya ijumaa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad