Shirika lisilo la Kiserikali la Camfed la endesha semina ya wabunge - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 13 November 2019

Shirika lisilo la Kiserikali la Camfed la endesha semina ya wabunge

Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali la Camfed, Lydia Wilbard akizungumza wakati wa Semina na wabunge wa Kamati ya Bunge ya Huduma za maendeleo ya Jamii, iliyofanyika Bungeni jijini Dodoma leo. Semina hiyo iliandaliwa na shirika lisilo la kiserikali linalojishughurisha na Mtoto wa kike aliye katika mazingira magumu la Camfed.
Mnufaika na Shirika lisilo la kiserikali la Camfed, Stumai Kaguna akizungumza wakati wa Semina ya Wabunge wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Maendeleo ya Jamii.
Meneja Mradi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Camfed, Anna Sawaki akizungumza wakati wa semina ya Wabunge wa kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.
Afisa Miradi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Camfed, Diris Martin akizungumza wakati wa Semina kwa wabunge wa Kamati ya Huduma za Masendeleo ya Jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad