HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 21, 2019

UTIAJI SAINI UJENZI WA MAHAKAMA KUU TUNGUU WAFANYIKA ZANZIBAR

 Mtendaji Mkuu wa Mahakama Zanzibar Kai Bashir Mbaruk kulia akitiliana saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Advent Construction ltd Mkataba wa Ujenzi wa Mahakama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Unguja hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahakama Kuu Vuga Zanzibar
 Mtendaji Mkuu wa Mahakama Zanzibar Kai Bashir Mbaruk kulia wakibadilishana hati ya saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Advent Construction ltd Mkataba wa Ujenzi wa Mahakama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Unguja hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahakama Kuu Vuga Zanzibar.
 Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akitoa hotuba katika hafla ya utiliaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mahakama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Unguja ambayo itakayojengwa na Kampuni ya Advent Construction ltd hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahakama Kuu Vuga Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa hotuba katika hafla ya utiliaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mahakama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Unguja ambayo itakayojengwa na Kampuni ya Advent Construction ltd hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahakama Kuu Vuga Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad