RAIS DK.SHEIN UZINDUZI WA VITAMBULISHO VIPYA VYA KIELEKTRONIKI (SMART CARDS) VYA MZANIBAR MKAAZI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 29 October 2019

RAIS DK.SHEIN UZINDUZI WA VITAMBULISHO VIPYA VYA KIELEKTRONIKI (SMART CARDS) VYA MZANIBAR MKAAZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Uzuinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha Smart Cards) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar(Picha na Ikulu)
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi,( kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, hafla hiyo ya Uzinduzi imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohameed Shein akiangalia Kitambulisho chake cha Mzanzibar Mkaazi cha (Smart Cards) baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisiya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri (kushoto kwa Rais) hafla hiyom imefanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo,29-10-2019.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Mama Mwanamwema Shein, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo 29-10-2019.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, hafla hiyo yac Uzinduzi imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo 29-10-2019.(Picha Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid, wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdilwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya ya Mzanzibar Mkaazi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mama Asha Suleiman Iddi, akionesha Kitambulisho chake Kipya cha Mzanzibar Mkaazi, baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya Uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan akionesha Kitambulisho chake Kipya cha Mzanzibar Mkaazi baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 WASANII wa Kikundi cha Makombora wakiingiza onesho la umuhimu wa kuwa na Kitambulisho cha Mzanzibar Mkaakazi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha (Smart Cards ) wakati wa Uzinduzi huo uliofanyika  ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Kitambulisho cha Kisasa cha Mzanzibar Mkaazi (Smart Cadrs ) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani ) akihutubia katika hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh. Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad