KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAADHIMISHA WIKI YA USALAMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 25 October 2019

KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAADHIMISHA WIKI YA USALAMA

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Muhato (wa pili kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wakikagua moja ya kisima cha mafuta ikiwa ni sehemu ya kilele cha Wiki ya Usalama ambayo huadhimishwa kati ya tarehe 21 mpaka 25, Oktoba Duniani kote, ambapo kwa upande wa Engen wamefanya kilele hicho kwa kutembele na kukagua sehemu za usalama katika Kituo chao cha Mikocheni Jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Muhato akikagua moja ya mitundi ya kuzimia moto, katika Kituo cha mafuta cha Engen Mikocheni ikiwa ni sehemu ya kilele cha Wiki ya Usalama ambayo huadhimishwa kati ya tarehe 21 mpaka 25, Oktoba Duniani kote, ambapo kwa upande wa Engen wamefanya kilele hicho kwa kutembele na kukagua sehemu za usalama katika Kituo chao cha Mikocheni Jijini Dar es salaam leo. No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad