Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akijisali laini yake kwa mtandao wa simu ya mkononi kwa njia ya alama za vidole katika banda la Airtel alipotembelea banda la kampuni hiyo jana wakati wa mkutano wa Mawaziri kutoka Nchi wanachama wa Jumuia za Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaohusu Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa unaofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Tuesday, September 17, 2019

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano asajili laini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment