MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 9 September 2019

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9, 2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kibiti, Ally Ungando, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad