Matukio Katika Picha Bungeni leo Tarehe 06 Septemba 2019 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 6 September 2019

Matukio Katika Picha Bungeni leo Tarehe 06 Septemba 2019

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Khamis Kigwangallah wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 6 Septemba 2019 jijini Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo akifafanua jambo alipokuwa akijibu swali la nyongeza wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.Kushoto ni Waziri wa Masuala ya Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Agustine Mahiga. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Luvuvi akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenyeulemavu, Mhe. Stella Ikupa akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adeladus Kilangi akisoma muswada wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria mbalimbali wa mwaka 2019 wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Katikati) pamoja na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mhe. Lameck Mwigulu Nchemba (kushoto) wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Chemba, Mhe. Juma Nkamia wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Baadhi ya watendaji toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia uwasilishaji wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 6 Sepmtemba 2019 jijini Dodoma. Miongoni mwa Sheria zinazokusudiwa kufanyiwa maerekebisho ni Sheria ya Basata ya mwaka 1984.
(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad