Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi (wapili
kushoto) wakizungumza na Profesa Mark Rweyemamu ambaye ni Mkurugenzi
Mkuu wa Kituo cha SACIDS Foundation for One Health chenye makao yake
mkoani Morogoro (wapili kulia) na Profesa Gerlad Masinzo ambaye ni
Kiongozi wa Kituo hicho katika Mkutano wa Saba wa TICAD unaoendelea
kwenye Hoteli ya Pacifico Yokohama nchini Japan, Agosti 29, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Thursday, August 29, 2019

WAZIRI MKUU AENDELEA NA MKUTANO WA TICAD 7
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment