Baadhi ya wananchi wakitembelea maonesho ya viwanda na taasisi mbalimbali katika Mkutano wa SADC m katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wananchi wakiwa katika banda la Zimbabwe katika maonesho ya viwanda na taasisi mbalimbali katika Mkutano wa SADC m katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
No comments:
Post a Comment