MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI KATIKA MKUTANO MKUU WA SITA WA JUKWAA LA UONGOZI BARANI AFRIKA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 30 August 2019

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI KATIKA MKUTANO MKUU WA SITA WA JUKWAA LA UONGOZI BARANI AFRIKA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulia, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa kushoto, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho kikwete wa pili kushoto na Rais Msataafu wa Somalia Prof. Hassan Sheikh Mohammed, wakiingia kwenye ukumbi  wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa la Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agosti 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu wa Nchi za Afrika umemalizika leo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulia na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa wakiwa wakisikiliza moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye  Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa la Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agosti 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu wa Nchi za Afrika umemalizika leo.
  Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa akifunga Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa ka Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agosti 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu wa Nchi za Afrika umemalizika leo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa kulia na Rais Msataafu wa Afrika ya Kusini Mhe. Tabo Mbeki  wakijadiliana jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa ka Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agosti 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu wa Nchi za Afrika umemalizika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais Mstaafu wa Somalia Prof. Hassan Sheikh Mohammed baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa ka Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agosti 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu wa Nchi za Afrika umemalizika leo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad