HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 6, 2019

WAMILIKI WA MELI WATEMBELEA UJENZI WA RELI YA KISASA(SGR) JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa akikitolea ufafanuzi  kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) inayojengwa kwa vipande vipande ili kuharakisha mradi huo ukamilike kwa wakati kwa wamiliki wa Meli waliotembea mradi huo katika eneo la Kamata jijini Dar es Salaam ukiongozwa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isaac Kamwele pamoja na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga.
Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isaac Kamwele akitolea ufafanuzi kuhusu mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) unavyosimamiwa na serikali ili kuimarisha miundombinu pamoja na kurahishisha usafirishaji kutoka bandarini kwenda nchi kavu kwa wamiliki wa meli waliotembelea mradi huo.
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akizungumza na wamiliki wa Meli waliotembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR)  unaosimamiwa na Shirika la Reli Tanzania katika ziara hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) mara baada ya kuwatembeza wamiliki wa Meli ili kujionea maendeleo ya mradi huo jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa kipande kilichotandikwa reli ya kisasa ya SGR jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad