HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 17 July 2019

Naibu Waziri Shonza azindua Studio ya Barnaba Boy

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akikaribishwa na mwenyeji wake Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya msanii huyo iitwayo Hightable Studio na kukabidhi vyeti toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema hii leo Julai 17, 2019.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy ( kulia) akifafanua jambo  kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya msanii huyo iitwayo Hightable Studio na kukabidhi vyeti toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema hii leo Julai 17, 2019.

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy ( kulia) akitoa maelezo  kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya msanii huyo iitwayo Hightable Studio na kukabidhi vyeti toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema hii leo Julai 17, 2019.
  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy iitwayo Hightable Studio na kukabidhi vyeti toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema hii leo Julai 17, 2019.
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia)akisoma moja ya vyeti vya usajili wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya Msanii mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy iitwayo Hightable Studio na kukabidhi vyeti usajili toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema hii leo Julai 17, 2019, kushoto ni  Afisa Sanaa toka BASATA, Bi. Bona Masenge.


 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akiwakabidhi vyeti vya usajili toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wasanii wa Hightable Studio wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio inayomilikiwa na Msanii wa mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy mapema hii leo Julai 17, 2019.
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akikagua vyeti usajili toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy (kulia) iitwayo Hightable Studio mapema hii leo Julai 17, 2019.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya msanii huyo iitwayo Hightable Studio na kukabidhi vyeti toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema hii leo Julai 17, 2019.
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa Hightable Studio wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio inayomilikiwa na Msanii wa mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy mapema hii leo Julai 17, 2019.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akipokea moja ya albamu ya Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Barnaba Elias maarufu kama Barnaba Boy (kulia) wakati naibu waziri huyo alipokwenda  kuzindua rasmi studio ya msanii huyo iitwayo Hightable Studio na kukabidhi vyeti toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema hii leo Julai 17, 2019.
Picha na WHUSM - DSM

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad