HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 29 July 2019

MKATABA WA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO-BUSISI MKOANI MWANZA LA KM 3.2 WASAINIWA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleiman Jaffo wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakiweka saini  na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleiman Jaffo wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakibadilishana nyaraka baada ya kuweka saini na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe akiongea kabla ya kusainiwa kwa Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale akiuelezea Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi la Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela akizungumza katika hafla ya utiaji siani kwa Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Hawa Mchafu Chakoma katika hafla ya uwekaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
Mbunge wa Geita Mhe Joseph Kasheku Msukuma akitoa shukrani kwa serikali ya awamu ya Tano kwa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleiman Jaffo, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale na wabunge wa Kanda ya zaiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad