HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 12 July 2019

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKAGUA SHAMBA LA KIMKAKATI LA MAHINDI KATIKA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO KITENGULE, MKOANI KAGERA

 Kamishna Jenerali wa Magereza( wa Kwanza kulia) akikagua shamba la mahindi ambalo liko katika hatua za mwisho za kuvunwa la gereza Kitengule.
 Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kushoto) akikagua ghala la kuhifadhia chakula cha wafungwa Gereza Kitengule alipotembelea gereza hilo leo Julai 11, 2019.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(wa pili toka kulia) akiangalia moja ya mashine maalum inayotumika katika upandaji wa mbegu katika mashamba ya Gereza Kitengule alipotembelea gereza hilo leo Julai 11, 2019(Picha zote na Jeshi la Magereza)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad