Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa
Madini, Stanslaus Nyongo, Bungeni jijini Dodoma, Juni 17, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masala ya
Watu Wenye Ulemavu, Stella Ikupa (kushoto) akizungumza na Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza,
Bungeni jijini Dodoma, Juni 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais
wa Bunge la Afrika, Stephen Masele kwenye viwanja vya Bunge jijini
Dodoma, Juni 17, 2019. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum,
Latifa Chande. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu
Vijijini, Flatei Massay, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni
17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment