HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 21, 2019

WIZARA YA KATIBA NA SHERIA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA

 Mkurugenzi Msaidizi Utawala wa Wizara ya Katiba na Sheria Edith Simtengu (mwenye kofia) akiongoza watumishi wa Wizara hiyo kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
 Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakifanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad